Msaada Kwa Rwanda Wasitishwa
Posted in
No comments
Saturday, July 28, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Serikali
ya Uholanzi imesitisha msaada wa dola milioni 6.15 kwa Rwanda baada ya
nchi hiyo kuhusishwa na ufadhili wa waasi katika Jamuhuri ya
kjidemokrasia ya Congo.
Hatua hii inajiri siku kadhaa baada ya Marekani kutangza inanuia kupunguza msaada wa kijeshi kwa Rwanda.
Hata hivyo Rwanda imekuwa ikikanusha madai ya umoja wa mataifa kuwa inafadhili kundi la waasi wa M23 mashariki mwa DR Congo.
Waasi
hao walianza kutoka jeshini kuanzia mwezi Aprili na hadi kufikia sasa
takriban watu 200,000 wametoroka makwao kwa sababu ya mapigano kati ya
jeshi na waasi hao.
Chanzo: http://www.bbc.co.uk/swahili
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :