HIZI NI PICHA NYINGINE ZA DIAMOND PLATINUM AKIWA WASHINGTON DC NCHINI MAREKANI

Posted in
No comments
Monday, September 3, 2012 By danielmjema.blogspot.com


Diamond na dancer wake wakiwa washington dc nchini marekani baada ya kuwasili jana hapo wakipata chakula cha mchana.
 Diamond wa wasafi akiwa mazoezini nchini marekani.
Diamond platinum mazoezi mwanzo mwisho nchini marekani kwa ajili ya show yake Washington DC.
Diamond mazoezini.
Diamond akiwa ana swimming na dancer wake Washington DC nchini marekani.
Diamond platinum akiwa na dancer wake wana furaha baada ya kushindana kukaa ndani ya maji kwa muda mrefu.

 
Diamond na Wasafi,pembeni ni Miss Temeke baada ya kuwasili DC

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .