MWANZA SERENGETI FIESTA NI MPAKA BHASSSSSSS
Posted in
No comments
Monday, September 3, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Kama mnavyoona timu nzima ya cloud media ikiongozwa na bi dada Fetty walitokelezeaaaaaaaaaaaaaaa-serengeti fiesta mwanza.
Bob
junior kwenye stage akiwaonyesha vitu vyake kwa wakazi waliofiki
serengeti fiesta katika viwanja vya ccm kirumba mkoani mwanza.
AT
naye alikuwa ni moja kati ya wasanii ambao walipanda katika stage ya
serengeti fiesta mkoani mwanza katika viwanja vya ccm kirumba.
Mashabiki walikusanyika kwa pamoja katika serengeti fiesta mkoani mwanza viwanja vya ccm karumba.
Professa jay wa Mitulinga ndani-Serengeti fiesta-Mwanza BHAAAAS!!!!- ccm kirumba.
Ommy
D naye alikuwa ni moja kati ya wasanii ambao walikisanua katika stage
ya serengeti fiesta mkoani mwanza viwanja vya ccm kirumba.
Mwasiti
kutoka katika jumba la vipaji THT naye alikuwa ni moja kati ya wasanii
ambao walikuwa wanatumbuiza katika stage ya serengeti fiesta mkoani
mwanza.viwanja vya ccm kirumba tisha mbaya.
Bob junior tisha mbaya katika stage ya serengeti fiesta mkoani mwanza katika viwanja vya ccm kirumba.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako





0 MAOINI :