Waziri Kagasheki Amaliza Ziara Ya kutangaza Utalii Marekani
Posted in
No comments
Tuesday, July 24, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Waziri
wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Sued Kagasheki akimkabidhi tuzo
ya kinyago Bi. Jena Fox, mwanahabari kutoka Jarida maarufu la nchini
Marekani la Travel Agent Magazine jijini New York hivi karibuni.
Tuzo hii ilitolewa na Bodi ya Utalii nchini kufuatia uandishi mzuri
wa makala mbalimbali za kutangaza ukanda wa utalii wa kusini katika soko la Marekani
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :