THIERRY HENRY, NICOLAS ANELKA , SAMI NASRI, FRANK RIBERY, MESUT OZIL, NA WACHEZAJI WENGINE MAARUFU WALIO NDANI YA MFUNGO WA MWEZI WA RAMADHANI

Posted in
No comments
Thursday, August 2, 2012 By danielmjema.blogspot.com

 



Nuri Sahin - Mchezaji wa Real Madrid na Uturuki


Bilali Ahmed maarufu kama Frank Ribery akiwa na mchezaji Hamit Altintop walipoenda Makka


Samir Nasri na utukutu wake wote mwezi huu yupo ndani ya mfungo


Karim Benzema


Hatem Ben Arfa - Kiungo wa Newcastle na Ufaransa nae nafunga mwezi mtukufu wa Ramadhani


Mesut Ozil - Raia wa Ujerumani mwenye asili ya Uturuki


Samir Khedira - Raia wa Ujerumani mwenye asili ya Tunisia.
Abdulsalaam Bilal maarufu kama Nicolas Anelka akiwa na mashekhe alipoenda hijja huko Makka

Bilal Abidal - maarufu kama Eric Abidal akisoma Quran akiwa kwenye ndege wakati akiwa na timu ya taifa ya Ufaransa mwaka jana.


Anaitwa Ibrahim Affelay mchezaji wa kimataifa wa Barcelona na Uholanzi



HII NI VIDEO INAYOMUONYESHA THIERRY HENRY AKITHIBITISHA KUBADILI DINI NA KUWA MUISLAM AKIFUATA MFANO WA RAFIKI ZAKE ANELKA, NA ABIDAL.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .