VODACOM NA MWEZI WA RAMADHANI

Posted in
No comments
Friday, August 3, 2012 By danielmjema.blogspot.com


Photo: Jiunge na ofa ya mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Ofa hii ni ya 
kila siku kuanzia Saa Tano Usiku (11pm) hadi Saa Moja Asubuhi (7am).



Mteja utapiga simu bila Kikomo Vodacom kwenda Vodacom, Tuma ujumbe mfupi
 wa maneno (SMS) kwenda mitandao yote Nchini na vile vile kuperuzi 
mtandao wa Intaneti bila kikomo!



Kwa Tsh250 kwa siku!

Kujiunga piga *102*250#



Ramadhan Kareem.

Photo: Furahia muda wa BURE wa maongezi Tsh1000 papo hapo kila 
ununuapo LUKU kupitia huduma ya M-pesa!



Nunua Luku kupitia M-pesa kuanzia kiasi cha Tsh1000 au zaidi ufurahie 
muda wa maongezi!



Piga *150*00#



Kazi ni kwako!

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .