SHEREHE YA MIAKA 7 YA THT FUNIKA BOVU NDANI YA DAR LIVE
Posted in
No comments
Tuesday, December 11, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Linah akiwapa raha mashabiki.
Barnaba akionesha umahiri wa kucharaza gitaa.
Mshiriki wa shindano la mkali wa maiki, Dino Mtimba akikamua kabla ya THT kuanza kazi.
Mzee Yusuf wa Jahazi Modern Taarab akipagawisha mashabiki.
Mmoja wasanii chipukizi wa THT akikamua jukwaani kwa hisia.
Mmmoja wa wasanii wa THT akikamua.
Queen Darleen akitoa swaga.
Dogo Aslay na Bi. Cheka wakikamua.
Shilole akiwapa hai mashabiki.
Baunsa akiwadhibiti mababa waliotaka kwenda kucheza na Shilole.
Barnaba na kimwana.
Twanga
wakifunga pazia la burudani. WASANII wa nyumba ya vipaji, Tanzania
House of Tallent ‘THT’ usiku wa kuamkia leo waliangusha bonge la pati
ndani ya Ukumbi wa Dar live uliopo Mabagala jijini Dar kusherehekea
miaka 7 ya kuanzishwa kundi hilo la kukuza vipaji. Katika pati hiyo
wasanii mbalimbali wa muziki walitoa burudani hasa wasanii wenyewe wa
THT. Pichani juu ni baadhi ya matukio yaliyojili ukumbini hapo.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :