Winfrida Dominique Mtanzania anayetuwakirisha kwenye Shindano la Miss Universe 2012....

Posted in
No comments
Saturday, December 8, 2012 By danielmjema.blogspot.com

Winfrida Dominique
Washiriki wa shindano la Miss Universe 2012 watakuchuana December 19 kwenye ukumbi wa Planet Hollywood Resort and Casino jijni Las Vegas, Nevada.
Unaweza kumpigia kura mwakilishi wa Tanzania katika shindano hilo Winfrida Dominique kwa kubonyeza link hii.

http://missuniverse.com/members/profile/652697/year:2012

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .