SHERIA YA KUSIMAMIA VYOMBO VYA HABARI HIYOOOOOO
Posted in
No comments
Friday, January 25, 2013
By
danielmjema.blogspot.com
Mswada huo unatarajiwa kuwasilishwa Bungeni wakati wowote baada ya kupitishwa katika ngazi za juu za Serikali.
Mswada
unaotarajiwa kuwasilishwa ni ahadi ya Serikali tangu mwaka 2007.
Serikali ipo tayari kupokea hoja mbalimbali baada ya kuwasilisha mswada
huu Bungeni kwa maana ya kuboresha ikiwemo Haki ya Kupata Habari.
Serikali
inawataka wadau wa habari na watanzania kuendelea kushirikiana na
Serikali kwa kuhakikisha kwamba Mswada wa Kusimamia vyombo vya Habari
unakamilika na kuwa sheria lengo likiwa ni kujenga misingi ya demokrasia
na utawala bora.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :