Monday, March 11, 2013

BREAKING NEWS: KILIMANJARO EXPRESS LAPATA AJALI TANGA NA KUJERUHI WAWILI

Basi la Kilimanjaro Express namba za usajili, T860 BVA, linalofanya safari zake katika Barabara ya Tanga-Moshi, limepata ajali na kujeruhi wawili akiwemo konda wa Gari hilo.

TAIFA LETU.com lilitinga katika ofisi za Kilimanjaro Bus mjini Moshi kupata Maelezo kwa Meneja wa Mabasi hayto lakini akasema yeye sio msemaji.
 inadaiwa chanzo cha ajali ni mwendo kasi.

Habari kamili zitafuta hivi punde.

No comments:

Post a Comment