Mbio za Kilimabnjaro Marathon 2013 zinatarajiwa kufanyika katika uwanja wa chuo cha ushirika Msohi ambao mpaka sasa tunapozungumza umeshaandaliwa kwa kazi ya kupokea wageni.
wakati huohuo, Waziri wa Michezo, Habari na Utamaduni Dkt. Fenella Mkangala anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika mbio hizo zitakazoanza kutimua vumbi majira ya saa 12;00 asubuhi kwa mujibu wa waandaaji na waratibu Kampuni ya Executive Solutions.
No comments:
Post a Comment