| Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve
Kilindi,(katikati)akimkabidhi kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dk
Ibrahim Msengi msaada wa magodoro kwa ajili ya hosptali ya Huruma ya
wilayani Rombo pamoja na kituo cha Afya cha Uru Kiaseni ,kulia kwake
ni mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dk Mtumwa Mwako.Jumla ya
magodoro 210 na vyandarua 200 vimetolewa na TBL kwa ajili ya kituo chaAfya cha Uru Kiaseni na hosptali ya Huruma . |
No comments:
Post a Comment