| Jukwaa la Onesho la Mkesha wa Kilimanjaro Marathon 2013 likiwekwa sawa jana usiku |
Sehemu ya Maelfu ya wakazi wa mji wa Msohi wakifuatilia onesho lililokuwa likitolewa na wasani wa kundi la Mashujaa kutoka Kaskazini (hawapo pichani)
Kilimanjaro Marathon Inatarajiwa kufanyika kesho katika uwanja wa Ushirika mjini Moshi kuanzia saa kumi na mbili asubuhi kwa mujibu wa Msemaji wa Executive Solution wanaoratibu Mbio hizo, Ibrahim Kyaruzi.
No comments:
Post a Comment