| Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya
wananchi katika mkutano wa hadhara wa CCM, kwenye Uwanja wa mpira mjini
Ludewa mkoni Njombe, leo May 28, 2013. Kinana ambaye yupo katika ziara
ya siku saba, kukagua utekelezaji wa ilani ya chama na kuzungumza na
wananchi mkoani Njombe, amefuatana na Katiobu wa NEC, Itikadi na Uenezi,
Nape Nnauye. (Picha na Bashir Nkoromo) |
No comments:
Post a Comment