Wanasema hela huenda kwa wenye hela na mwenye nacho huongezewa zaidi. Sina uhakika,
lakini kwa mujibu
wa picha nilizoziona kwenye akaunti ya Instagram ya Diamond Platnumz,
inaonekana kama the lad is about get some serious money from wazee wa
machapati ‘Azania’.
Katika akaunti hiyo, Diamond ameweka
picha kadhaa ambazo zote zinamuonesha akiwa amebeba magunia ya unga wa
ngano wa Azania na katika picha moja ameandika, “Guess what???.
Tutegemee surprise siku si nyingi!!
No comments:
Post a Comment