Balozi wa
Palestina hapa nchini, Dk. Nasri Abujais (kulia) akimshukuru Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula ( wapili kushoto), kwa achakula
cha jioni alichouandalia ujumbe wa PLO uliopo nchini, katika hoteli ya
Protea Courtyard jijini Dar es Salaam, Juni 12, 2013. Kushoto ni Katibu
wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na
Wapili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa PLO, Tayseer Khalid. (Picha zote na
Bashir Nkoromo).
|
No comments:
Post a Comment