RC-GAMA AKAGUA ATHARI ZA MOTO MLIMA KILIMANJARO

Posted in
No comments
Thursday, July 11, 2013 By danielmjema.blogspot.com

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama na ujumbe wake wakiwasili eneo la Horombo kukagua athari za moto.
Gari Maalum la Hifadhi ya Kilimanjaro aina ya UNIMOG lililotengenezwa Ujerumani linaloweza kuhimili njia ya kiutawala ya kufika hadi kituo cha Kibo Mlimani Kilimanjaro.Wanahabari wakipanda gari hilo kwa ajili ya kuelekea kituo cha Horombo kuangalia athari za moto.
Safari ikiendelea huku vumbi kubwa likitimka.
Mkuu wa Wilaya ya Moshi Dk. Ibrahim Msengi (mwenye kofia nyeupe) alikuwa ndani ya UNIMOG kuelekea Horombo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa ndani ya gari kuelekea Horombo.

Mkuu wa Hifadhi ya Kilimanjaro Erastus Lufungulo (kushoto) akisoma taarifa ya moto kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama.
Mkuu wa Hifadhi akionyesha eneo lililoathirika na moto.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akishika pande la barafu lililoganda eneo la Horombo ambapo ni urefu wa Mita zaidi ya 3,700 juu ya uswa wa bahari. Picha zote na mdau Pascal Shelutete

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .