SEMINA KWA WATENDAJI WA CCM YAPAMBAMOTO LEO DODOMA

Posted in
No comments
Wednesday, October 23, 2013 By danielmjema.blogspot.com

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza mwanzini mwa siku ya tatu ya semina ya mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, katika ukumbi wa Sekretarieti, Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni Mohamed Seif Khatib na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitoa mada kuhusu namna nzuri ya kuandaa mikutano, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Washiriki wa semina ya mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM, wakiwa wamefurika ukumbini katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Baadhi ya Wajumbe na Makatibu wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), wakiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kusikiliza mada iliyokuwa ikitolewa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (hayupo pichani) katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na baadhi ya wajumbe, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro (kulia, safu ya mbele)akifuatilia kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa na Nape (hayupo pichani), katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Katibu wa CCM, Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kombo Kamote, akiongoza kuimba wimbo wa hamasa, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kulia kwake ni Katibu wa CCM, wilaya ya Kigoma mjini, Augustine Minja.
 Baadhi ya wajumbe wakipitia ratiba, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Mkuu wa Mafunzo ya taaluma makao makuu ya CCM, Hadija Faraji (kushoto), akiwa miongoni mwa jopo la sekretarieti, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Baadhi ya wajumbe wakibadilishana mawazo, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Sekretarieti ikiwa kazini, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. 

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .