JK AKIWASILI DODOMA JANA JIONI; KUFUNGA SEMINA YA WATENDAJI WA CCM LEO HII

Posted in
No comments
Thursday, October 24, 2013 By danielmjema.blogspot.com

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishuka kwenye ndege, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma jana jioni, kwa ajili ya kufunga semina ya mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa inayomalizika leo.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete baada ya kuwasili mjini Dodoma
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimsalimia Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma jana jioni.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye Uwanja wa Ndege mjini Dodoma baada ya kuwasili jana jioni.
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akimwongoza Rais Kikwete kwenda eneo la mapumziko baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa
Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete akiwasalimia wananchi waliofika kumlaki, Uwanja wa Ndege wa Dodoma Jana jioni.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .