Posted in
By
danielmjema.blogspot.com
|
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) akimsaidia kupasua ubao
fundi, John Mwandosya ( watatu), aliposhiriki ujenzi wa vyumbavya
maabara katika shule ya sekondari Mwakaleli, wilayani Rungwe mkoani
Mbeya, Nov 25, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani
ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia za kuzitatua,
wilayani Tukuyu. Kulia ni Mkuu wa shule hiyo yenye umri wa zaidi ya
miaka 60, Edward Mwantimwa. |
|
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akibeba tofali kushiriki ujenzi
wa chumba cha, katika shule ya sekondari Mwakaleli, wilayani Tukuyu
mkoani Mbeya, Nov 25, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa
ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia za
kuzitatua, wilayani Rungwe. |
|
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa nyumba ya
mwalimu, katika shule ya sekondari Mwakaleli, wilayani Tukuyu mkoani
Mbeya, Nov 25, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani
ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia za kuzitatua,
wilayani Rungwe. |
|
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa KImataifa, Dk. Asha-Rose Migiro
akipasua ubao, wakati Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (hayupo
pichani) aliposhiriki ujenzi wa vyumba vya maabara, katika shule ya
sekondari Mwakaleli, wilayani Tukuyu mkoani Mbeya, Nov 25, 2013, akiwa
katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za
wananchi na kujadili nao njia za kuzitatua, wilayani Rungwe. Wapili
kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ambaye pia
alishiriki kupasua mbao kwa ajili ya ujenzi huo. |
|
Mamia ya wananchi wa Kata ya Kandete, wilayani Rungwe mkoani Mbeya
wakimsikiliza Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alipohutubia
mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Kata hiyo, Nov 25, 2013. |
|
Mzee Issa Simon wa Kata ya Kandete, wilayani Tukuyu mkoani Mbeya,
akimsimika Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuwa Mzee wa
Kinyakyusa, kabla ya mkutano wa hadhara uliofanywa na Kinana katika kata
hiyo, NOv 26, 2013, katika shule ya sekondari Mwakaleli, wilayani
Rungwe mkoani Mbeya, Nov 25, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua
utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao
njia za kuzitatua, wilayani Rungwe. Baada ya kutawazwa alipewa jina la
Mwakinana. |
|
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipewa zwadi ya kitenge
kwa ajili ya mkewe, na kiongozi wa Kinana mama wa Kata ya
Kindete,wilayani Rungwe mkoani Mbeya, Nov 25, 2013, Salaome Mwakalinga. |
|
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro
akipewa zawadi na mama wa Kata ya
Katende, Salome Mwakalinga kwa niaba ya Kinana , Wilayani Rungwe mkoani Mbeya, Nov 25, 2013. |
|
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, akisalimia wananchi
waliofurika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Kandete,
wilayani Rungwe mkoani Mbeya, Nov 25, 2013. |
|
Mkazi wa Kijiji cha Kipapa, Kata ya Busokelo, wilyani Rungwe mkoani
Mbeya, akishangilia msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
uliposimama kwa muda katika kijiji hicho, Nov 25,2013, Katibu Mkuu akiwa
katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za
wananchi na kujadili nao njia za kuzitatua, wilayani humo. |
|
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiwasalimia wananchi wa kijiji
cha Kipapa, Kata ya Busokelo, msafara wake ulispomamishwa na wananchi wa
Kijiji hicho, Nov 25. 2013, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji
wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadili nao njia za
kuzitatua, wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa
na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro. |
0 MAOINI :