LOWASSA AMFARIJI YUSUF MAKAMBA KWA KUFIWA NA MAMA YAKE
Posted in
No comments
Wednesday, January 22, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Katibu mkuu mstaafu wa ccm mzee Yusuph Mkamba akimtambulisha dada zake Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa,wakati Mh Lowassa alipokwenda kumpa pole mzee Makamba kwa kufiwa an mama yake mzazi huko kijijini kwake Maezangula wilaya ya Korogwe.
Mh Lowassa akimsikiliza Mh January Makamba huku mzee Makamba (kulia) akisikiliza
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :