TCRA YAANDA KONGAMANO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA DIGITALI JIJINI ARUSHA, LEO

Posted in
No comments
Tuesday, February 11, 2014 By danielmjema.blogspot.com


Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbib Gunze (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha Februari 10, 2014 juu ya kukamilika kwa maandalizi ya Kongamano la 9 la CTO la mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) ambao utafanyika kuanzia 11 – 14 Februari, 2014 Naura Springs Hotel, Arusha Tanzania. Kulia ni Katibu Mtendaji wa CTO, Prof. Tim Unwin.
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbib Gunze (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha Februari 10, 2014 juu ya Kongamano la 9 la CTO la mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) ambao utafanyika kuanzia 11 – 14 Februari, 2014 Naura Springs Hotel, Arusha Tanzania. Katikati ni Katibu Mtendaji wa CTO, Prof. Tim Unwin, akifuatiwa na Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano Afrika Mahsriki (EACO) Hodge Semakula.
Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbib Gunze akifafanua zaidi juu ya Kongamano hilo 9 la CTO la mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF)
Katibu Mtendaji wa Commonwealth Telecommunications Organisation (CTO) Prof. Tim Unwin, akizungumza na wanahabari wa jijini Arusha juu ya kukamilika kwa maandalizi ya mkutano huo unaoanza Februari 11-14, 2014 katika hoteli ya Naura Spring Arusha.Kushoto ni Habbib Gunze, Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Kulia ni Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano Afrika Mashariki (EACO), Hodge Semakula.
Viongozi TCRA, CTO na EACO wakizungumza na wanahabari

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .