BENKI YA AKIBA WALIVYOPAMBA MBIO ZA KUPAMBANA NA KISUKARI MKOANI KILIMANJARO LEO

Posted in ,
No comments
Sunday, April 13, 2014 By danielmjema.blogspot.com

Ilikuwa ni balaa
Napambana...mwanariadha Marcel Ntandu akimalizia mbio za kilomita 8 za kupambana na ugonjwa wa kisukari, Kibo Race Diabetes awareness zilizofanyika leo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Mchuano mkali
Mshindi wa kwanza wanaume, Marcel Ntandu kutoka TPC
Mshindi wa pili wanaume, Matayo Milau
Mshindi wa pili upande wa wanawake kilomita 8, Rose Kasusura
ACB tulifika
ACB na sisi tupo
Maofisa wa ACB wakipokea Vyeti vya ushiriki katika mbio za kampeni ya kupinga na elimu dhidi ya ugonjwa wa kisukari
Kocha wa Kibo akito maneno ya shukrani
ACB tumetokelezea...tunapinga kisukari
Meneja Msaidizi wa Benki ya Akiba Commercial ACB tawi la Moshi, Damari Kanyama (wa kwanza kushgoto), katika picha ya Pamoja na baadhi ya maofisa wakuu wa benki hiyo.
Meneja Msaidizi wa Benki ya ABC tawi la Moshi, Damari Kanyama (wa kwanza kushgoto), katika picha ya Pamoja na baadhi ya maofisa wakuu wa benki hiyo katika viwanja vya Zumba land, benki hiyo ni mmoja wa wahisani waliojitokeza kudhamini mbio za kupambana na ugonjwa wa kisukari, Kibo Race Diabetes awareness.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .