By
danielmjema.blogspot.com
|
Baadhi ya taasisi a NGO'S mbalimbali
zilihudhuria uzinduzi huo. |
|
Wanafunzi kutoka shule mbalimbali za msingi
wakisikiliza kwa makini mambo mbalimbali yaliyokuwa
yakizungumzwa. |
|
Makundi mbalimbali ya watu yalishiriki
uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani iliyozinduliwa mjini
Moshi. |
|
Wanafunzi kutoka shule mbalimbali za msingi
wakisikiliza kwa makini mambo mbalimbali yaliyokuwa
yakizungumzwa. |
|
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama
akizungumza wakati wa uzinduzi wa wiki ya chanjo
duniani. |
|
Mwakilishi
mkazi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dk Rufaro Chatora akizungumza
wakati wa sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani uliofanyika
katika viwanja vya mandela mjini Moshi. |
|
Baadhi ya washiriki katika uzinduzi huo
kutoka Asasi mbalimbali mkoani Kilimanjaro. |
|
Mwakilishi wa UNICEF,Sudha Sharma
akizungumza wakati wa sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani
uliofanyika katika viwanja vya mandela mjini Moshi. |
|
Naibu waziri wa Afya,Kebwe Stephen Kebwe
akizungumza wakati wa sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani
uliofanyika katika viwanja vya mandela mjini Moshi. |
|
Mke wa rais Mama Salma Kikwete akiwasalimia
wananchi waliofika katika sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo
duniani uliofanyika katika viwanja vya mandela mjini
Moshi. |
|
Mke wa rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba
yake wakati wa sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani
uliofanyika katika viwanja vya mandela mjini Moshi. |
|
Mkurugenzi wa huduma za Afya toka wizara ya Afya,Dk Neema Rusibamayile akitoa neno
la shukrani mara baada ya Mke wa rais,Mama Salma Kikwete kutoa hotuba
yake. |
|
Mke wa rais ,Mama Salma Kikwete akikata
utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa wiki ya chanjo
duniani. |
|
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa chanjo
ya matone kwa mtoto Ahmad Saleh kuashiria uzinduzi rasmi wa wiki ya
chanjo duniani. |
0 MAOINI :