Helikopita Ikizimwa Moto
Hali ikiwa shwali
![]()
Katika kukagua uharibifu wa miundombinu uliosababishwa na mvua kubwa katika Jiji la Dsm, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Dk.John Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Meck Sadiki na Afande Kova wamenusurika ajali ya helikopita iliyotokea leo Jijini Dsm. Jamani tumuombe mwenyezi Mungu awalinde hawa viongozi wetu wapendwa waliokuwa katika kuwatumikia watanzania. Natoa baadhi ya picha za helikopita hiyo ikizimwa moto.
No comments:
Post a Comment