TBC ILIVYOKUTANISHA WADAU WA MUZIKI WA DANSI JUZI

Posted in
No comments
Monday, April 7, 2014 By danielmjema.blogspot.com


Wadau wa muziki wa Dansi katika picha ya pamoja
wadau wa muziki wa dansi Asha Kigundula na mwandishi wa gazeti la mwananchi

Baadhi ya wasanii wa bendi mbalimbali wakiwa katika mdahalo wa muziki wa dansi kutoka kushoto ni King Kiki, Juma Ubao, Mafumo Bilali 'Bombenga' Kassimu Mapili na Waziri Ally
Wadau wa muziki wa dansi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika mdahalo

Baadhi ya wadau wa muziki wa dansi wakiwa katika meza kuu kushoto ni Mwani Nyangasa, Rose Chitara kushoto ni Muddy Muzungu
Baadhi ya wadau wa muziki waliojitokeza katika mdahalo wa muziki wa dansi kutoka kushoto ni , Deo Mutta Mwanatanga,Taasisi Masela na  Super Nyamwela wa Extra Bongo Picha nawww.burudanm.blogspot.com
Mwani Nyangasa kulia akiwa na Richard Mangustino
WASANII wa muziki wa dansi pamoja na wadau mbalimbali wa mziki huo leo walikutanishwa na Shilika la utangazaji la Taifa TBC kwa ajili ya mdahalo wa kujadili mambo mbalimbali yanayohusu kupolomoka kwa mziki wa dansi nchini

Mdahalo huo ulioratibiwa na Dacota Khamis anaetangaza kipindi cha nyumbani ni nyumbani imeleta chachu kwa wasanii hao kwa kufungua ukurasa mpya baada ya mada mbalimbali kujadiliwa wakati wa mdahalo hou 

Mada zilizozungumzwa 1. Sababu ya Kuporomoka kwa Muziki wa Dansi, 2. Mikataba na wajibu wa wamiliki wa bendi kwenye vifo na maradhi, 3. Ushirikiano wa Wamiliki wa bendi, 4.
 
Maadili ya uchezaji kwa wanenguaji.wanamziki hawo ambao mara nyingi walikuwa wakilalamikia vyombo vya habari hususani tv na radio kutokupiga nyimbo zao na kuenderea kuwapa mda mrefu wasanii wa kizazi kipya ambao mara nyingi nyimbo zao azina hubora wa aina yoyote 

Baadhi ya waliokuwepo; Dacota Khamis, Rose Chitallah, Chacha Sinda, ModyMuzungu, Chiki Mchoma, Sunday Mwakanosya, William Kaijage, Kassim Mapili, Abdul Salvador, Deo Mutta Mwanatanga, Richard Mangustino, Rajabu Mhamila 'Super D', Asha Baraka, Ally Choki, Mwani Nyangasa, Asha Kigundula, King Kiki, Hussein Jumbe, Saidi Kibiriti, Waziri Ally, Juma Ubao, Mafumu Bilali, Othman Suka, Taasisi Masela, mtu wa BASATA na mtu wa TBC. 

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .