TANGA FRESH YAPATA AJALI;WATU WAMIMINIKA KUNYWA MAZIWAGARI LA MAZIWA

Posted in
No comments
Thursday, July 25, 2013 By danielmjema.blogspot.com


SONY DSC
Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakikinga maziwa kwenye kontena la kampuni ya maziwa yaTanga Fresh baada ya kichwa cha kontena hilo kuchomoka na kuacha njia eneo la ubungo mataa  leo Julai 24, 2013.likitokea Mkoani Tanga hakuna aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo.
 
SONY DSC SONY DSC


Kila siku tunanunua: Ustadhi naye akijipatia maziwa bila kujali yana usalama au hapana


SONY DSC SONY DSC


Jeshi la polisi likiwa kwenye eneo la tukio.


SONY DSC


Kichwa chenye namba za usajili T 787 AFX lilobeba kontena la maziwa likiwa pembeni ya barabara mara baada ya kuacha njia likitokea Mkoani Tanga. Na Mpiga Picha wetu Dar es salaam

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .