Airtel yazindua huduma ya kipekee ya vifurushi vya data maalum kwa simu na mahitaji ya kila mteja
Posted in
Biashara
No comments
Friday, May 23, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Mabalozi wa Huduma mpya ya Airtel,Ney wa Mitego,Vannessa Mdee na Barnabas wakiwa wameshikilia mabango yenye kuonyesha namba ya kujiunga na huduma hiyo wakati wa hafla ya uzinduzi wake uliofanyika jana usiku kwenye kiota cha Maraha cha Club Rouge ndani ya Hoteli ya Hyatt Agengy The Kilimanjaro,Jijini Dar es Salaam. |
Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Tanzania, Levi Nyakundi akizungumza na wadau mbali mbali (hawapo pichani) waliohudhulia hafla hiyo ya uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel kwa watumiaji wa Internet hapa nchini ijulikanayo kama SWITCH ON.
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya ambaye pia ni Balozi wa huduma hiyo mpya ya Airtel,Barnabas akitoa burudani kwa wadau waliofika ukumbini hapo.
Ney wa Mitego
Vannessa Mdee na madansa wake ndani ya nyumba.
DJ Choka alipewa wasaa wa kuielezea simu mpya aina ya Samsung s5 ambayo ilishindaniwa na wadau mbali mbali waliokuwepo ukumbini hapo.
DJ Zerro akifanya vitu vyake.
Wadau mbali mbali wakifatilia uzinduzi huo kwa umakini mkubwa.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :