KUNDI LA TATU LA WATALII WA NDANI MLIMA KILIMANJARO WAFURAHIA KUFIKA SHIRA CATHEDRAL (KANISANI)
Posted in
Utalii
No comments
Wednesday, May 21, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
| Kundi la mwisho la watalii wa ndani wakiwa katika uwanda wa Shira wakielekea katika eneo maarufu kama Kanisani yaani Shira Cathedral. |
| Watalii wa ndani wakipewa maelekezo ya vifaa mbalimbali yakiwemo mavazi yanayotumika kupandia mlima. |
| Watalii wa ndani wakaianza safari ya kuelekea Kanisani Shira Cathedral. |
| Baada ya kupanda Kilima kimojawapo watalii wakafika wakiwa hoi. |
| Waliofanikiwa kufika wakapata mapumziko huku wakiangalia mandhari nzuri ya mlima Kilimanjaro. |
| Licha ya kufika akiwa hoi bado mtalii huyu wa ndani, Mwandishi wa Habari Leo, Nakajumo James, alionesha uzalendo kwa nchi yake. |
| Tumefanikiwa kufika kilele cha kwanza kwa mapumziko kidogo. |
| Safari ya kufika kanisani ilipo karibia kila mmoja alibeba jiwe dogo ka ajili ya kuweka kumbukumbu. |
| Waliokuwa na nguvu wakafika mapema kileleni kuwahi ibada ya kwanza. |
| Waliochelewa wakapicshana na waliowahi ibada ya kwanza wao wakaenda kwa ajili ya ibada ya pili. |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :