By
danielmjema.blogspot.com
|
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA)Paschal Shelutete akitoa ufafanuzi kwa Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wanaoshiriki kongmano jijini Mwanza. |
|
Mkurugenzi wa Utalii na Masoko wa Shirika la Hiadhi za Taifa(TANAPA) Ibrahim Mussa akitoa ufafanuzi kwa Wahariri wa habaro toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wanaoshiriki Kongamano jijini Mwanza. |
|
Mwenyekiti wa Majadiliano katika kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya Habari nchini Dk Ayoub Rioba akizungumza jambo katika Kongamano hilo. |
|
Meneja Ujirani Mwema wa TANAPA Ahmed Mbugi akiwasilisha mada kwa Wahariri wa Habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini katika kongamano linalofanyika jijini Mwanza. |
|
Washereheshaji wa shughuli mbalimbali katika kongamano la Wahariri wa habari ,Peter Mavunde na Sauda Simba Kilumanga wakitizama ratiba ili kuhakikisha mambo yote yanaenda sawa katika kongamano hilo. |
|
Meneja Ujirani Mwema wa TANAPA Ahmed Mbugi akiteta jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Maimuna Tarishi katika Kongamano hilo. |
|
Baadhi ya Wahariri wakiwa wamegawanyika katika makundi mbalimbali kwa lengo la kufanya mijadala kabla ya kufanya uwasilishaji. |
|
Baadhi ya Wahariri wa Habari walikuwa Live kuhakikisha kile kinachozungumzwa ukumbini hapo kinawafikia wananchi kupitia vyombo mbalimbali vya habari. |
|
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania(TANAPA)Allan Kijazi akizungumza na Wahariri wa habari katika Kongamano hilo. |
0 MAOINI :