TASWIRA MBALIMBALI YA ZIWA VICTORIA NA HIFADHI YA YA KISIWA CHA SAANANE MWANZA
Posted in
Utalii
No comments
Monday, June 2, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Mandhari za kuvutia ukiwa katika kilele cha kilima kilichopo katika Hifadhi ya Saaanane. |
Ukiwa katika Kisiwa cha Saaanane mji wa Mwanza unautazama hivi. |
Mji wa Mwanza ukionekana kwa mbali ukiwa Ziwani. |
Mawe Makubwa yaliyoko katika Hifadhi ya Kisiwa cha Saanane . |
Ndege wakiota Jua katikati ya Ziwa Victoria. |
Barabara ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane. |
Mawe ya kuvutia. |
Mti ukiwa umejishikiza katika Mwamba mkubwa. |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :