VIATU VYA LAKUCHUMPA VITAKAVYOTUMIWA NA NYOTA WA KIMATAIFA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA.
Posted in
Michezo
No comments
Thursday, June 5, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Kampuni yakutengeneza vifaa vya michezo kama jezi,viatu,mipira na kadhalika ya Puma imezindua viatu vya Evo Power kwa ajili ya kombe la dunia 2014 linalofanyika Brazil mwaka huu.
Fahamu uzinduzi wa viatu hivi umefanywa na wachezaji wawili ambao ni Super Mario Balotelli wa Italia na Cec Fabregas kutoka Hispania.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :