By
danielmjema.blogspot.com
|
Mtoto Idda Baitwa akiwa na ndugu yake Leah Baitwa wakiwa wamepumzika baada ya kutembea umbari mrefu wakipanda mlima Kilimanjaro. |
|
Mtoto Idda Baitwa akijaribu kupita katika miamba kwa msaada wa fimbo wakati akipanda mlima Kilimanjaro. |
|
"Hoi' ni baada ya kutembea umbali mrefu. |
|
Baada ya kuvuka vikwazo kadhaa mtoto Idda Biatwa alipata afasi ya kuchukua Taswira na nduguze. |
|
Safari ikaendelea. |
|
Kila kivutio alichokutana nacho mtoto Idda Baitwa na nduguze walipata kuchukua Taswira. |
|
Safari ikaendelea. |
|
Muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea kileleni. |
0 MAOINI :