MTOTO WA MFALME WA JAPANI PRINCE FUMIHITO NA MKEWE WAZURU HIFADHI YA NGORONGORO

Posted in
No comments
Tuesday, July 8, 2014 By danielmjema.blogspot.com

 Mwana wa mfalme wa Japan Prince Fumihito Akishino na mkewe Kiko, wakifurahia ngoma za makabila la Wadatoga (Barbaig) na ile ya Wamasai, katika eneo la mlango wa Loduare kwenye hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro, pamoja nao wapo pia maafisa wa mamlaka hiyo, Bruno Kawasange na Adam Akyoo pamoja na Mkuu wa wilaya ya Karatu, Felix Daudi Ntibenda.
 wakiwa wanafurahia ngoma za wamasai pamoja na wabarabaigi
 Katika picha nyingine ​Mwana huyo wa mfalme wa Japan akipewa maelezo kuhusu shughuli za uhifadhi ndani ya mamlaka hiyo katika kutuo cha habari cha Loduare Gate

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .