WATU WAWILI WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI MJINI MKOANI KILIMANJARO.
No comments
Tuesday, July 15, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Gari aina ya Range Rover lenye likiwa limeharibika vibaya baada a kugongana uso kwa uso na gari dogo |
Mifuko maalumu ya kuzuia abiria asiumie wakati wa ajali ikiwa imefumuka baada ya ajali . |
Pikipiki ikiwa chini ya gari aina ya Range Rover baada ya kugongwa. |
Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wakitizama pikipiki iliyokuwa chini ya gari hiyo |
Hivi ndivyo pikipiki inavyoonekana ikiwa chini gari. |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :