MISS ILALA 2013 DORICE MOLLEL ATEMBELEA KAMPUNI YA KUTENGENEZA UMEME WA GESI NA KUTUNZA MAZAO RIELA NCHINI UJERUMANI
                      Posted in 
                      
Matukio
                            No comments
                          
Thursday, August 14, 2014
                      By 
                      danielmjema.blogspot.com
Bw. Karl Heinz Knoop akielezea historia fupi  kuhusu kampuni yake kwa wanafunzi wa Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere akiwemo Miss Ilala 2013 Dorice Mollel wanaoshiriki program ya mwezi mmoja nchini Ujerumani.
Miss Ilala 2013 Dorice Mollel (kushoto pichani) akiwa kwenye program ya mwezi mmoja, na wenzake 8 kutoka Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere  ambapo wamepata nafasi ya kwenda  kutembelea  Kiwanda cha Kilimo  kilichoanzishwa mwaka  1972  ambacho kinamilikiwa na Bw. Karl Heinz Knoop , mwenye uzoefu wa miaka 50 ambaye anatarajia kujenga kiwanda hiki pia nchini Tanzania mkoani Kilimanjaro Moshi kitakachofahamika kwa jina la Reila amabavyo pia vipo zaidi ya nchi 11 duniani na  kwa Afrika ni Tanzania pekee tumepata bahati hiyo ya kuletewa Teknlolojia anayotumia ya kutengeneza umeme wa gesi na pia kutunza mazao, hii itasaidia sana kukuza sekta ya kilimo Tanzania.
Dorice Mollel amesema “ hichi ni kitu cha muhimu sana nikiwa kama mrembo nikirudi nyumbani na  kuieleza jamii inayonizunguka ili kutuletee faida baadae nchini kwetu”.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :