KONGAMANO LA 31 LA KISAYANSI LAENDELEA MJINI BAGAMOYO
Posted in
Elimu
,
Teknolojia
No comments
Thursday, November 27, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Maximilian Mapunda kutoka shirika la Afya Duniani (WHO-Country Officer) akiwasilisha mada kwenye kongamano hilo.
Na Andrew Chale, Bagamoyo
Pichani ni baadhi ya picha za matukio ya siku ya pili, jana Novemba 25 kwenye kongamano la Kisayansi la 31, '31th Annual Scientific Conference and Annual General Meeting'.. lililoandaliwa na Tanzania Public Health Association (TPHA).
Mkutano huo unafanyika mjini hapa Bagamoyo katika Ukumbi wa Stella Maris, Bagamoyo, Pwani Tanzania.
Kongamano hilo la kisayansi la 31, limeanza Novemba 24 linatarajia kuwa la siku tano na kutarajia kumalizika Novemba 28 ambapo wataalamu wa afya na wadau watajadilina mambo mbalimbali ya afya hapa nchini.
Katibu Mtendaji wa TPHA Taifa, Dk. Oberlin Kisanga akiwasilisha mada maalum kwenye kongamano hilo.
Dk. Ali Mzige mshiriki wa Kongamano la Kisayansi la 31, akiwasilisha mada maalum.
Mwenyekiti wa TPHA Taifa, Dk.Elihuruma Nangawe akitoa ufafanuzi kwenye mada zinazotolewa na wajumbe kwenye kongamano hilo.
Wajumbe wa kongamano hilo wakichangia mada.
Katibu Mtendaji wa TPHA Taifa, Dk. Oberlin Kisanga (kushoto) akifuatilia kwa makini kongamano hlo.
Habari Zingine
- Cheki viatu vinavyotumia bluetooth kukuelekeza popote uendako
- Hizi ndio Treni mbili za kifahari zinazotengenezwa, nchini Japan, kuanza kutumika May 2017
- Simu ya Roboti yaziduliwa leo
- Uswisi kuzindua Reli ndefu zaidi Duniani inayopita 'underground' imejengwa kwa miaka 17
- China yatengeneza mabasi yanayopita juu ya magari mengine (tizama Video)
- Wanafunzi 7000 wafukuzwa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), nchini Tanzania
- Dr. Matiang'i akerwa vyuo vikuu vya umma nchini kutumika kama handaki la ukabila
- WANAFUNZI 62 WAFUKUZWA UNIVERSITY OF NAIROBI
- UTAFITI: ELIMU HUNUFAISHA HADI WAHALIFU
- TANZANIA: WIZI MKUBWA BODI YA MIKOPO-HELSB
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :