MTOTO WA MIAKA 5 AFA MAJI – SHINYANGA

Posted in
No comments
Thursday, November 27, 2014 By danielmjema.blogspot.com

Juhudi za kuokoa maisha ya mtoto Marck Kiwesa mwenye umri wa miaka 5 aliedumbukia katika kisima cha maji wakati akicheza na wenzake mapema leo asubuhi zimegonga mwamba baada ya kupatikakana akiwa amefariki dunia.

Tukio hili limetokea katika manispaa ya Shinyanga katika shule ya awali ya sheer bliss ambapo marahemu alikuwa akicheza na wenzanke karibu na shimo ambalo lilikuwa halikufunikwa.

Polisi mkoani Shinyanga inamshikilia mmiliki wa shule hiyo kwa mahojiano zaidi.

Tarehe 20 November mwaka 2013 serikali ilitoa notisi kwa mmiliki wa shule hiyo kuifunga kutokana na kukosa usajili.

chanzo: STAR TV

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .