VODACOM: WATANZANIA WANAENDELEA KUNUFAIKA NA HUDUMA NA GHARAMA NAFUU ZA MAWASILIANO.
Posted in
Biashara
No comments
Tuesday, February 17, 2015
By
danielmjema.blogspot.com
![]() |
Mkurugenzi Mtendaji waVodacom Tanzania Rene Meza, akiongea na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa kibiashara wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo. |
![]() |
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini hotuba aliyokuwa akitoa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza (hayupo pichani) juu ya mwenendo wa kibiashara wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo. |
![]() |
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakifuatilia kwa makini hotuba aliyokuwa akitoa Mkurugenzi Mtendaji wao Rene Meza (hayupo pichani) kwa waandishi wa habari juu ya mwenendo wa kibiashara wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo. |
![]() |
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini hotuba aliyokuwa akitoa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza (hayupo pichani) juu ya mwenendo wa kibiashara wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo. |
![]() |
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia akijibu waswali ya waandishi wa habari muda mfupi baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Rene Meza kuongelea juu ya mwenendo wa kibiashara wa kampuni jijini Dar es Salaam jana. |
Habari Zingine
- BODI YA FILAMU NCHINI KENYA YAISHINIKIZA Coca Cola KUFUTA TANGAZO
- KUTOKA KIJIWENI: ILI UFANIKIWE ACHA KUFANYA HAYA
- TANZANIA: RC DAR ES SALAAM, SAID MECK SADIKI AZINDUA DUKA LA HUAWEI JIJINI DAR ES SALAAM
- Tigo yakabidhi Kompyuta na Printa kwa Jeshi la Polisi Mwanza, Tanzania
- Microsoft kuinunua Linkedin kwa Dola Bilioni 26.2
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :