MANDHARI MWANANA YAWAVUTIA WATALII WA NDANI HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO
Posted in
Utalii
No comments
Saturday, May 23, 2015
By
danielmjema.blogspot.com
Mmoja
wa watalii wa ndani ,Dkt Gaspaer Mpehongwa ,(Kulia) akizungumza jambo na
wageni wakati akiwaonesha moja ya picha inayoonesha namna ambavyo
volcano ilivyo ripuka na kutengenza uwanda wa Shira.
Wafanyakazi
wa Benki ya CRDB tawi la Mwanga wakiongozwa na meneja wao ,Innocent
Silayo(wa pili toka kulia) wakishuka mara baada ya kutembelea vivutio
katika uwanda wa Shira.
Makamu mkuu wa Chuo kikuu cha Ushirika Prof,Faustine Bee akizungumza jambo kuhusu miamba iliyoko katika mapango hayo.
Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara (MOCU) Prof,Faustine Bee
akifurahia mara baada ya kuingia katika mapango ya Shira.
Watalii
wa ndani wakiwa katika mapango ya Shira ambayo yalitumiwa na wapagazi
wakati wa zoezi la kupandisha watalii wakati wa safafri ya kuelekea
kilele cha Uhuru.
Safari ikaendelea.
Watalii wa ndani wengine waliweka kumbukumbu.
Safari ya kuelekea kutizama mapango ikiendelea.
Makamu
mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara (MOCU) Faustine Bee
akichukuliwa taswira na kijaa wake baada ya kufika eneo la Shira hut.
Watalii
wa ndani wakichukua taswira mbalimbali mara baada ya kufika kilele cha
Shira ndani ya Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro.
Raia wa kigeni wakipata kumbukumbu katika maeneo mbalimbali ya hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro.
Makamu
mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara (MOCU),Faustine Bee
akitizama mandhari katika uwanda wa Shira wakati akipanda mlima huo
kuelekea katika mapango ya Shira.
Safari ya kuelekea katika vivutio vya asili katika uwanda wa Shira ,hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro.
Afisa
Masoko wa Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro akizungumza na watalii
wa ndani kabla ya kuendelea na safari ya kutembelea vivutio mbalimbali
viyoko katika uwanda wa Shira yakiwemo mapango ya Shira Caves.
Kundi
la Pili la watalii wa ndani wakiwa katika eneo la uwanda wa Shira mara
baada ya kufika kwa usafiri wa gari hadi katika eneo hilo.
Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa katika gari kuelekea kilele cha Shira katika hifadhi ya mlima Kilimanjaro.
Kwa Hisani ya: Michuzi Blog
Kwa Hisani ya: Michuzi Blog
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :