OFISA MTENDAJI MKUU DAWASCO,MHANDISI CYPRIAN LUHEMEJA AAGA RASMI MUWSA.
Posted in
Habari na Jicho Pevu la Kijiwe
No comments
Sunday, August 23, 2015
By
danielmjema.blogspot.com
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,wakiwa katika kikao maalumu kwa ajili ya kuagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo. |
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,Mhandisi ,Patrick Kibasa akizungumza katika kikao hicho. |
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na uSAFI WA Mazingira mjini Moshi,MUWSA. |
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,wakiwa katika kikao hicho. |
Meneja Biashara wa MUWSA,John Ndetiko akitoa neon la shukrani katika kikao hicho. |
Wafanyakazi wa MUWSA. |
Mhandisi Luhemeja akiagana na wafanyakazi wa MUWSA. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :