TANAPA YATANGAZA KAMPENI YA MIEZI SITA KUHAMASISHA UTALII WA NDANI.
Posted in
Habari na Jicho Pevu la Kijiwe
No comments
Wednesday, August 26, 2015
By
danielmjema.blogspot.com
Kaimu Meneja Mauzo wa TANAPA,Victor Ketansi akisisitiza jambo. |
Mkuu wa Idara ya Utali katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Eva Mallya akizungumza vivutio mbalimbali vunavyopatikana katika hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro. |
Mkuu wa Idara ya Utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Arusha,(ANAPA) Neema Philip akizungumzia vivutio mbalimbali vinayopatikana katika hifadhi ya Arusha. |
Afisa Utalii Mwandamizi katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi ,Pellagy Marandu akizungumzia vivutio mbalimbali vinavyoopatikana katika hifadhi hiyo. |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :