GESI YA BAGAMOYO ITALINUFAISHA TAIFA-MAGUFULI.

No comments
Saturday, October 10, 2015 By danielmjema.blogspot.com

Umati wa wakazi wa mji wa Bagamoyo mkoa wa Pwani wakiwa wamekusanyika kwenye uwanja wa shule ya Msingi majengo wilayani Bagamoyo wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akijinadi mbele yao kwenye mkutano wa kampeni na kuomba kura za kutosha ili awe Rais wa Tanzania katika awamu ya tano.Dkt Magufuli amemaliza kampeni zake ndani ya mkowa wa Kilimanjaro na leo ameanza mkoa wa Pwani,wilayani Bagamo ambapo anatarajia kuendelea na kampeni zake mkoani Lindi na mkoa wa Pwani.
Umati wa wakazi wa mji wa Bagamoyo mkoa wa Pwani wakiwa wamekusanyika kwenye uwanja wa shule ya Msingi majengo wilayani Bagamoyo wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akijinadi mbele yao kwenye mkutano wa kampeni na kuomba kura za kutosha ili awe Rais wa Tanzania katika awamu ya tano.



Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa Bagamoyo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa wa shule ya msingi majengo wilayani jioni ya leo.
 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwanadi wagombea Ubunge wa jimbo la Chalinze,Mh Ridhiwan Kikwete (kulia) pamoja na Mh.Shukuru Kawambwa,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa wa shule ya msingi majengo wilayani humo jioni ya leo.


Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kugundulika kwa gesi ya Bagamoyo mkoani Pwani itasaidia kuimarisha uchumi na ujenzi wa viwanda nchini. Hayo ameyasema leo wilayani Bagamoyo katika mikutano yake ya kampeni iliyofanyika katika majimbo ya Chalinze na Bagamoyo, ambapo amesema gesi hiyo itasaidia ujenzi wa viwanda katika serikali take.

"Kwanza niwapongeze kwa kugundua gesi hapa Bagamoyo, tena imegunduliwa katika eneo la ruvu. Na hii itakuwa na manufaa kwa uchumi wa Taifa na kwa wananchi wa Pwani kwa ujumla.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .