KAMPUNI YA CHINA WORLD BUZ YAMALIZA SEMINA KATI YAKE NA WAFANYABIASHARA ARUSHA LEO TRIPPLE “A” JIJINI ARUSHA
Posted in
No comments
Wednesday, January 22, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina ya siku mbili kwa wafanya biashara hao iliyomalizika leo, kuhusu mfumo utakaosaidia wafanyabiashara wadogo wa Tanzania kutafuta masoko ya bidhaa nchini China na kuwapa taarifa sahihi za masoko kwa msaada wa kampuni hiyo,Mfumo huo hautampa gharama kubwa mfanyabiashara kama vile Usafiri , Chakula, Hoteli.kwani hatalazimika kusafiri kwenda China ili kununua bidhaa badala yake kampuni hiyo itamuagizia na kumfikisha mahali alipo ama kumshauri ni njia gani anaweza kutumia kupata bidhaa kutoka China. |
Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa upande wa Tanzania akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina kwa wafanya biashara hao iliyomalizika leo |
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia madsa katika semina hiyo . |
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia mada kuhusu mifumo ya ufanyaji kazi wa kampuni hiyo. |
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia mada kuhusu mifumo ya ufanyaji kazi wa kampuni hiyo. |
SOURCE:FATHER KIDEVU BLOG
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :