DKT. MREMA JIMBONI KWAKE VUNJO-MKOANI KILIMANJARO

Posted in
No comments
Wednesday, January 22, 2014 By danielmjema.blogspot.com

Dk. Mrema akiwasili katika soko la Himo juzi alipofanyia mkutano wa hadhara na kukutana na wananchi wa Jimbo lake
Dk. Mrema akiwasili katika soko la Himo juzi alipofanyia mkutano wa hadhara na kukutana na wananchi wa Jimbo lake, ambapo alilakiwa na kundi la akina Mama pamoja na wapiga kura wake, Dkt. Mrema yupo jimboni kwake kuhamasisha kazi za maendeeleo.
Mmoja wa akina mama, mfanyabiashara katika soko la Himo akiwa ameacha kazi zake kumpokea Mbunge wake, Dkt. Augustino Lyatonga Mrema ambaye alifika sokoni hapo kuzungumza na wananchi wa kata ya Makuyuni kuhusiana na shughulia anazozitekeleza jimboni kwake ikiwemo upatikanaji wa Maji safi na Salama, ambapo inadaiwa kuwa zaidi ya Miaka 18 wakezi wa eneo hilo walikuwa hawajapata maji.
Wananchi wakimsikiliza Dk. Mrema (aliyefunikwa kwa kanga katikati) wakati alipofanya ziara katika soko la Himo-Makuyuni.
Dkt. Mrema akihutubia Mkutano huo, pichani yupo mwandishi wa habari na mpiga picha wa ITV, Robert Minja

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .