Tigo yadhamini uzinduzi wa Rock City Mall: Kufanya gulio la kuuza bidhaa mbalimbali Mwanza
Posted in
Habari na Jicho Pevu la Kijiwe
No comments
Saturday, December 19, 2015
By
danielmjema.blogspot.com
KAWAIDA
Meneja
huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa Beatrice
Kinabo(katikati),akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Mwanza
jana,ambapo jengo la kimataifa la biashara(Rock City Mall) limekamilika
na Tigo watafanya gulio la kuuza bidhaa mbalimbali,kushoto ni Katibu wa
Bodi ya wakurugenzi wa Mwanza City Commercial Complex Company Limited
Joseph Mlinzi na kulia ni Meneja wa Tigo pesa kanda ya Ziwa Issa Orry.
|
Meneja
wa Tigo pesa kanda ya Ziwa Issa Orry,akizungumza na waandishi wa habari
jijini Mwanza jana,ndani ya jengo la kimataifa la biashara (Rock City
Mall) ambapo limekamilika na Tigo watafanya gulio la kuuza bidhaa
mbalimbali,kushoto ni Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya
Ziwa Beatrice Kinabo
|
Katibu
wa Bodi ya wakurugenzi wa Mwanza City Commercial Complex Company
Limited Joseph Mlinzi,akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza
jana,kuhusu kukamilika kwa jengo la kimataifa la biashara(Rock City
Mall),ambalo wananchiwanaruhusiwa kuingia na kununua bidhaa kuanzia
jumamosi wiki hii,kulia ni Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya
Ziwa Beatrice Kinabo,ambapo Tigo wataendesha gulio la kuuza bidhaa zao.
|
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :