KENYA: WANAFUNZI WAANDAMANA CHUO KIKUU CHA JKUAT
Posted in
afrika mashariki
No comments
Wednesday, March 9, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Habar zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Wanafunzi
wa chuo kikuu cha JKUAT wanaandamana wakilalamikia kifo cha
mwanafunzi mmoja wa kiume anayedaiwa kupoteza maisha baada ya kula chakula chenye sumu (Food Poisoning).
Wanafunzi
hao ambao wamekuwa wakikabiliana na polisi tangia mida ya saa kumi
jioni, wanailaumu zahanati ya chuo hicho kwa kutowajibika hivyo basi kupelekea kifo cha mmoja wao. Polisi wakupambana na ghasia bado wanakabiliana na wanafunzi ndani ya chuo hicho na vitongoji vyake.
Tutaendelea kuwajuza kadri habari zaidi zitakavyotufikia
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :