BLOGGERS wa Tanzania walivyotinga Bungeni kwa Mwaliko wa Waziri wa Habari
Posted in
afrika mashariki
No comments
Friday, May 13, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (aliyevaa tai) akiwa katika picha ya pamoja na wamiliki wa Blogs (Bloggers) aliowaalika wakati wa kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2016/2017, bungeni Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo,Annastazia Wambura.
Baadhi ya Bloggers wakiwa bungeni wakati wa Bajeti ya wizara hiyo
Baadhi ya Bloggers wakisikiliza mwenendo wa bunge. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Muda wa Chama cha Wamiliki wa Bloggers Tanzania (TBN), Joackim Mushi.
Nape akiwa na Bloggers pamoja na wasanii bungeni Dodoma
Nape akisalimiana na Blogger Salum Mwinyimkuu
Mmiliki wa Blog ya Fullshangwe, John Bukuku (kushoto) na Mmiliki wa Matukio360 Blog Salum Mwinyimkuu wakiwa na mwandishi wa habari wa Raia Tanzania, Sharifa Malira
Baadhi ya Bloggers wakiwa bungeni wakati wa Bajeti ya wizara hiyo
Nape akiwa na Bloggers pamoja na wasanii bungeni Dodoma
Nape akisalimiana na Blogger Salum Mwinyimkuu
Mmiliki wa Blog ya Fullshangwe, John Bukuku (kushoto) na Mmiliki wa Matukio360 Blog Salum Mwinyimkuu wakiwa na mwandishi wa habari wa Raia Tanzania, Sharifa Malira
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :