Bunge la Bajeti la Afrika Mashariki limeendelea Arusha, bajeti hii ndio iliyowasilishwa

No comments
Friday, May 27, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Bunge la Bajeti ya Afrika mashariki kwa mwaka wa Fedha 2016/17 limeendelea leo May 27 2016 Arusha ambapo Naibu Waziri wa mambo nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, ambaye ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Baraza la Mawaziri, Suzan Kolimba amewasilisha bajeti ya shilingi milioni 101.1 kwa mwaka wa fedha 2016\2017. Baada ya uwasilishaji wa bajeti hiyo Suzani Kolimba ameyazungumza haya:
"Ukisema kwamba zinasuasua ni kutokana na kwamba uhalisia wa mambo kwa sababu wanaleta kile walichokipata, mwaka jana bajeti ilikuwa milioni 110, mambo yote yanafanyika kutokana na mpango wenyewe ambao  sehemu kuu ni utekelezaji wa shughuli zote  zinazohusiana na Jumuiya zikiwemo zile taasisi za jumuiya yenyewe," alisema Suzan Kolimba na kuongeza
"Vipaumbele ni vingi ikiwemo mambo ya Nishati, kuhakikisha kwamba tunatengeneza system za kibenki kwa ajili ya kufanya umoja wa kifedha, hii bajeti inakuwa inajumlisha shughuli zote zinazofanywa na Jumuiya ikiwemo bajeti ya Mahakama, bajeti ya bunge lenyewe hili na taasisi zote zilizo chini ya Jumuiya," alisema Suzan Kolimba
DSC_0082
DSC_0089
.
DSC_0103
Dk . Suzan Kolimba
DSC_0121
Dk . Suzan Kolimba
Ima1300032
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Abdulah Mwinyi
DSC_0014
DSC_0030
Dk . Suzan Kolimba na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Liberat Mfumukeko.
DSC_0049
DSC_0073
Dk . Suzan Kolimba na Mbunge wa Afrika Mashariki anayewakilisha Kenya, Mumbi Ng’aru.
Chanzo: Millardayo.com

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .