Habari katika Picha: Mratibu mkazi Wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, awataka vijana kuwa mfano katika Nchi zao
Posted in
afrika mashariki
No comments
Saturday, May 28, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
![]() |
Mratibu wa Kongamano hilo Marx Chocha akizungumza jambo kwenye mkutano huo. |
![]() |
Vijana wakisikiliza kwa makini mada mijadala iliyokua inatolewa. |
![]() |
Ushiriki wa vijana wa kike ulipewa umuhimu wa kipekee katika mkutano huo na walionesha uwezo wao katika kujadili masuala mbalimbali yakiwemo ajira ,usalama na amani na mabadiliko ya tabia nchi. |
![]() |
Mshiriki kutoka Zanzibar,Asma Omar akifatilia kwa makini. |
![]() |
Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa(UN)Hoyce Temu |
![]() | |
|
![]() |
Mshiriki kutoka jijini Dar es Salaam,Lilian Kimani akipokea cheti chake baada ya kutambuliwa kufanya vizuri kama mkuu wa Itifaki kwenye mkutano huo. |
![]() |
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini,Alvaro Rodriguez akimkabidhi mmoja wa vijana cheti cha kutambua mchango wake . |
![]() |
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini,Alvaro Rodriguez akimkabidhi mmoja wa vijana cheti cha kutambua mchango wake . |
![]() |
Vijana wakiwa wamechangamka kwenye mkutano wa Baraza Kivuli la Umoja wa Mataifa. |
![]() |
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini,Alvaro Rodriguez(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na vijana kutoka nje ya nchi waliohudhuria mkutano huo. |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :